Umuhimu wa kula mboga kwa afya yako

Maelezo ya sauti, Umuhimu wa kula mboga kwa afya yako

Ni mwanzo mpya mwaka huu ambao watu wengi wanautaja kama mwezi wa Veganuary ambapo watu wanajaribu kula vyakula vya mboga kwa mwezi huu wote. Mwezi huu ulianzishwa mwaka 2014 na wanandoa wa Marekani ili kuwarai watu kula mboga.

Je, wewe wapenda mbona gani?

Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili