Wanyama wa mwituni wapokea zawadi za krismasi

Maelezo ya sauti, Wanyama wa mwituni wapokea zawadi za krismasi

Kwa sikuu hii ya krismasi wanyama pia hawakusazwa nje katika mbuga ya wanyama huko Ufaransa ,Ujerumani , Colombia na Zealand wamepokea zawadi za krismasi.