Mwanamziki wa Rap Tekashi 6ix9ine afungwa miaka miwili
Mwanamziki Tekashi 6ix9ine amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kwa makosa aliyoyafanya wakati alikuwa mshiriki wa genge la vurugu.Tekashi, alikana mashitaka hayo lakini akakubali kutoa ushahidi dhidi ya washiriki wa genge hilo ili kupata hukumu iliyopunguzwa. Je unaweza wageuka wandani wako wa karibu ili kujiokoa wewe binafsi? wasiliana nasi kwenye ukurasa wa Facebook, BBCSwahili.
