Dini ya aina yake inayowavutia Waingereza

Maelezo ya sauti, Dini ya aina yake inayowavutia Waingereza

Kijana mmoja kwa jina Darshil kutoka kaskazini magharibi mwa Uingereza anawaonyesha watu jinsi wahindi huvalia wanapo waburudisha watu kwa kutumia mirija huku akisema anaivunia dini yake ya Kihindu.