Paka afanyiwa maombolezo nchini Uingereza
Ibada ya wafu imefanyiwa paka mmoja aliyepata umaarufu mkubwa kwa kushinda nje ya duka la Sainsbury Uingereza. Paka huyo amekumbukwa katika ibada ambayo hufanywa kila mwaka kusherehekea wanyama.