Simu ya Semenya ya kuduliwa

Maelezo ya sauti, Simu ya bingwa wa mbio za mita 800 katika olympiki Caster Semenya imedukuliwa

Bingwa wa mbio za mita 800 katika olympiki Caster Semenya kupitia mtandao wake wa twitter alisema kuwa nambari yake ya simu ilikuwa imedukuliwa alionya kuwa huenda ikatumika na watu wenye nia ya kulaghai wengine.