Mtaalamu wa pesa mwenye umri wa miaka 13 kutoka Tanzania

Maelezo ya video, Msichana wa Tanzania mwenye utaalamu wa masuala ya fedha
Mtaalamu wa pesa mwenye umri wa miaka 13 kutoka Tanzania
g
Maelezo ya picha, Tracy Rabi ni mtaalamu wa masuala ya fedha za vijana kutoka Tanzania

Malengo yako ya fedha kwa mwaka 2024 ni yapi? Mtaalamu wa masuala ya fedha kutoka Tanzania anaweza kuwa na mawazo fulani kwako. Tracy Rabi ameandika vitabu vitatu juu ya pesa na ujasiriamali na anaendesha mafunzo ya biashara kwa watoto - yote haya akiwa na umri wa miaka 13 tu.