“Ulemavu sio kushindwa, bali kushindwa ni ulemavu”
“Ulemavu sio kushindwa, bali kushindwa ni ulemavu”
Iliyochapishwa
Ni mawaidha ambayo Muhammed Mugawa Maro, huwapa watu mara kwa mara akiwatumbuiza.
Alizaliwa miaka 48 iliyopita na ulemavu wa macho, na ameibuka kuwa miongoni mwa wasanii wenye umaarufu katika ukanda wa pwani.
Je ni changamoto gani yeye hupitia, na ana maoni gani kuhusu sera zitakazowasaidia walemavu ili waache maisha ya utegemezi?



