Je, moto huu wa kiwanda cha chuma cha Iran ulianzishwa na wadukuzi?
Je, moto huu wa kiwanda cha chuma cha Iran ulianzishwa na wadukuzi?
Kundi la wadukuzi linalojiita Predatory Sparrow limetangaza kuwa limefanikwa kuanzisha moto mbaya katika kiwanda cha chuma- na kutoa video kuthibitisha madai yake. Wataalamu wanasema ikiwa ni kweli, hii inaonesha mfano hatari.