Waokoaji wampa mtoto maji kwa kifuniko cha chupa akiwa chini ya kifusi
Waokoaji wampa mtoto maji kwa kifuniko cha chupa akiwa chini ya kifusi
Vikosi vya uokoaji vilimpa maji mtoto wa Syria anayeitwa Mohummad akiwa amenaswa chini ya vifusi huko Hatay.
Walimpa maji ya kunywa kutoka kwenye kifuniko cha chupa kabla ya kumtoa kwenye vifusi, karibu saa 45 baada ya tetemeko kubwa la ardhi.