Miaka 10 ya DIRA ya Dunia TV

Maelezo ya video, Dira ya Dunia TV inaadhimisha miaka 10
Miaka 10 ya DIRA ya Dunia TV
Kikeke

Kipindi cha Dira ya Dunia kinaadhimisha miaka 10, Mtangazaji Mahiri na mmoja wa waasisi wa kipindi hicho @salim_kikeke anakukaribisha katika maadhimisho hayo ambapo matangazo ya kipindi hicho yatakujia moja kwa moja kutoka studio zetu zilizopo jijini Dar es Salaam kwa wiki nzima. @mariamomarp @wazirkhamsin @kahumbi_s @frankmavura