Dereva wa Tanzania aeleza jinsi yeye na wenzake walivyonusurika vita Goma

Maelezo ya sauti, Dereva wa Tanzania aeleza jinsi yeye na wenzake walivyonusurika vita Goma
Dereva wa Tanzania aeleza jinsi yeye na wenzake walivyonusurika vita Goma

Makumi ya madereva wa Lori wamekwama nchini DRC baada ya waasi wa M23 kuteka sehemu ya mji mkuu wa Goma na kusababisha barabara kuu kufungwa.

Mwandishi wa BBC Regina Mziwanda amezungumza na Mohamed Abdillah Aden ambaye ni miongoni mwa madereva wa malori ambao wamefanikiwa kuvuka mpaka na kuingia nchini Rwanda.