Hivi, Unalala masaa mangapi usiku?

Maelezo ya sauti, Wajua madhara ya kutolala vyema
Hivi, Unalala masaa mangapi usiku?
M

Chanzo cha picha, Getty Images

Angalau saa tano za kulala usiku zinaweza kupunguza uwezekano wa zaidi ya miaka 50 ya matatizo mengi ya afya sugu, watafiti wanasema.

Afya mbaya inaweza kuvuruga usingizi - lakini usingizi duni unaweza pia kuwa na madhara.

Hivi,Unalala masaa mangapi usiku? Tueleze kwenye ukurasa wa Facebook, BBCSwahili.