TikTok kupiga marufuku watoto kutiririsha video moja kwa moja
TikTok kupiga marufuku watoto kutiririsha video moja kwa moja

TikTok inaongeza umri wake wa chini wa kutiririsha VIDEO moja kwa moja kutoka miaka 16 hadi 18 kuanzia mwezi ujao. Uchunguzi wa Habari wa BBC uligundua mamia ya akaunti za Watoto zikienda moja kwa moja kutoka kambi za wakimbizi wa Syria, huku watoto wakiomba michango.