Matokeo ya uchaguzi Kenya 2022: Kitu gani kinaweza kutokea baada ya matokeo kutangazwa na IEBC

Maelezo ya video, Matokeo ya uchaguzi Kenya 2022: Kitu gani kinaweza kutokea baada ya matokeo kutangazwa

Huku Wakenya wakisubiri matokeo ya uchaguzi mkuu ulioshuhudia ushindani mkali, tunaangazia kile kinachoweza kutokea baada ya matokeo ya urais kutangazwa rasmi.

Haya hapa matukio manne yanayoweza kutokea pindi tume ya uchaguzi itakapotangaza rasmi rais mteule wakati wowote kutokea sasa.