Yoga imepata umaarufu mkubwa Zanzibar wakati wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan

Maelezo ya video, Yoga imepata umaarufu mkubwa Zanzibar wakati wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan

Yoga imekuwa ikipata umaarufu mkubwa Visiwani Zanzibar wakati wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

Aida Suleiman ni mkufunzi wa yoga Zanzibar - anaamini kufanya mazoezi ya yoga mwezi huu sio tu kutasaidia kuufanya mwili kuwa na shughuli nyingi za kimwili bali pia kuboresha umakini wa kutafakari.

Mwandishi wa BBC Esther Namuhisa ametuandalia taarifa ifuatayo:

Video:Eagan Salla