Diamond Platinumz: Sababu ya Tuzo za Tanzania kufa ni mimi
Msanii maarufu wa Tanzania Diamond Platinumz ametoa EP yake ijulikanayo kama FOA.
Msanii huyu ambaye ameshinda tuzo nyingi duniani anasema EP hii ni kionjo tu cha Album kubwa itakayokuja baadaye.
Diamond yuko Uingereza kutangaza kazi yake hii mpya na ametembelea studio zetu za London na kuzungumza na mwandishi wetu Salim Kikeke.