Wanachama wa Chadema wakishangilia kuachiwa huru kwa Mbowe

Maelezo ya video, Wanachama wa Chadema wakishangilia kuachiwa huru kwa Mbowe

Mahakama hiyo ilikuwa inamshikilia Mbowe na wenzake watatu kwa kesi ya kujibu kuhusiana na tuhuma mbalimbali zikiwemo za kupanga njama za kufanya vitendo vya kigaidi.