Lata Mangeshkar:Nyota wa Bollywood aliyezigusa nyoyo za wengi

Maelezo ya sauti, Lata Mangeshkar:Nyota wa Bollywood aliyezigusa nyoyo za wengi

Mwili wa mwanamziki tajika kutoka India Lata Mangeshkar,umefanyiwa ibada ya mwisho na kuchomwa huko Mumbai katika hafla iliyohudhuriwa na Waziri Mkuu Narendra Modi na nyota wengine wa Bollywood.

Mangeshkar alifariki akiwa na umri wa miaka 92 na vibao vyake vimetumika kwenye mamia ya filamu kadhaa za Bollyhood.