Malkia Elizabeth II wa Uingereza aadhimisha miaka 70 ya enzi ya uongozi wake

Maelezo ya video, Utawala wa enzi ya Malkia katika dakika mbili

Tarehe 6 Februari, Uingereza itaadhimisha maadhibisho ya kwanza ya miaka 70 ya uongozi wa Malkia. Huu ni uongozi wa miongo kumi katika dakika mbili