Waasi wa Tigray wapora maghala ya chakula katika eneo la Amhara.
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani limesitisha usambazaji wa chakula cha msaada katika miji ya Ethiopia ya Dessie na Kombolcha katika eneo la Amhara baada ya maghala yake kuporwa na wanajeshi waasi wa Tigrayan.