Vita vya Ethiopia: Kwanini kujua kinachoendelea Tigray ni muhimu?
Mapambano kati ya serikali ya shirikisho na waasi ambayo yalianza mwaka mmoja uliopita, Watigray wanatishia kuuvamia mji mkuu wa Addis Ababa.
Hii ndio sababu kuwa muhimu kujua kinachoendelea Tigray kwa kuwa si muhimu kwa Ethiopia tu bali kwa Afrika Mashariki yote.