Mai Zumo 'nilianza kuigiza nikiwa na miaka mitatu'

Maelezo ya video, Mai Zumo 'nilianza kuigiza nikiwa na miaka mitatu'

‘Nimeanza kuchekesha nikiwa na umri wa miaka Mitatu’ ni mtoto @mai__zumo ambaye amekuwa gumzo kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuigiza akiwa na umri huu mdogo.

Je, anawezaje kumudu shule, maigizo na kucheza na watoto wenzake kama watoto wengine?

Je hela anazozipata anazitumiaje?

Na mambo mengine kadha wa kadha ambazo yeye mwenyewe alipata wasaha wa kutueleza kupitia mwandishi wetu Frank Mavura