'Ugumu wa maisha ulinifanya kufikiri wazo hili'

Maelezo ya video, 'Ugumu wa maisha ulinipelekea kuja na wazo hili'

Watu wengi wanapokutana na ugumu katika maisha hukimbilia kufanya yasiyo mema, hii imekuwa tofauti kwa kijana wa zamani 'Ally Salum' ambaye yeye ameamua kuleta ubunifu wa kusafirisha abiria hasa maharusi na wasanii wa muziki kupitia Baiskeli ya miguu mitatu maarufu 'GUTA' ambayo nchini Tanzania hutumika kubebea mizigo.

Mwandishi wa BBC Frank Mavura amezungumza naye