Fahamu kwanini masaji ya asili ya samaki inaaminiwa kuwa ni salama Kilimanjaro Tanzania?
Ukiacha saluni palipozoeleka Chem chem ya Chemka mkoani Kilimanjaro ni moja ya maeneo yanayovutia wenyeji na wageni wengi wanaokwenda kufanya masaji ya samaki.
Upo wasiwasi kuhusu usalama wa aina hii ya masaji. Mwandishi wa BBC Idhaa ya kiswahili, Yusuf Mazimu alikua Kilimanjaro na hii ni taarifa yake.