Mfuga nyuki anayehatarisha maisha yake

Maelezo ya video, Mfuga nyuki anayehatarisha maisha yake

Ericka Thompson ni mfuga nyuki anayewahudumia nyuki bila kuvaa vifaa kinga vyovyote.

Video ya mfugaji nyuki anayewashika nyuki kwa mikono bila kuwa na glavu, imeangaliwa na zaidi ya watu milioni 1.5 kwenye Twitter.