Jinsi uteute wa konokono unavyoweza kulainisha ngozi yako na kuzuia usizeeke

Maelezo ya video, Jinsi uteute wa konokono unavyoweza kulainisha ngozi na kuzuia usizeeke

Japo wengi wanaweza kuliona na jambo la kutia kinyaa, ute wa konokono unatumika na wataalamu wa urembo kutengeneza bidhaa za ngozi kama sababu zinazopigiwa upatu kutibu na kulainisha ngozi. Tazama video uelimike zaidi: