Upandikizaji figo unavyoweza kuokoa maisha
Leo ni siku ya figo duniani, ambapo mara nyingi katika maadhimisho ya siku hii, watu huangalia changamoto zinazowakabili wagonjwa na kusahau ndugu waliochangia figo na kuokoa maisha ya wapendwa wao.
Mwandishi wetu Aboubakar Famau ametuandalia taarifa ifuatayo: