Tanzania yajenga reli mpya itakayounganisha nchi jirani
Tanzania inajenga reli mpya ya kisasa badala ya ile ya zamani iliyojengwa karibu miaka 100 iliyopita wakati wa ukoloni.
Reli mpya ya Standard Gauge inatarajiwa kuunganisha Tanzania na nchi kadhaa za jirani ambazo hazina bahari. Mradi huo wa mabilioni ya fedha unaofadhiliwa na serikali na mikopo unatarajiwa kufikia Kilometa 1,800.
Salim Kikeke wa BBC anaripoti kutoka mji mkuu wa kibiashara, Dar es salaam.