Shambulio la Jumba la Capitol Hill Marekani : Tazama jinsi waandamanaji walivyovamia bunge Marekani
Takriban watu wanne wamefariki nchini Marekani baada ya waandamanaji wanaomuunga mkono rais Trump kuvamia bunge na kuzuia kuidhinishwa kwa Joe Biden kuwa mshindi wa uchaguzi uliopita Marekani.
Wafuasi wa Trump waliokuwa na hasira waliandamana huku wakiimba, "Tunamtaka Trump"