Mji unaobadilisha taka kuwa nguo mpya
Sekta ya mitindo ndio inakuwa kwa kasi duniani.Zaidi ya tani milioni 100 ya nguo huwa zinatupwa kila mwaka.Lakini inakuwaje ikiwa nguo hizo zinaweza kubadilishwa kuwa kitu kingine?
Mji mmoja nchini Italia umetengeneza kiwanda cha kubadilisha taka za nguo kuwa nguo mpya ambazo zinaongoza katika mitindo.