Wanawake 100 wa BBC 2020: Zahara atoa wito kwa wanawake kutokaa kimya na kudai kuwa kutawauwa

Maelezo ya video, Zahara:"Usikiae kimya , kitakuua"

Mwanamuziki na mtunzi wa nyimbo Afrika Kusini Zahara anazungumzia unyanyasaji wa kijinsia wakati wa mlipuko wa corona nchini kwake.

Ametoa ujumbe kwa vijana kuwa "Usikae kimya , kitakuua."

Zahara yuko kwenye orodha ya wanawake 100 wa BBC mwaka huu.