Mary Wollstonecraft: Sanamu ya mwandishi mwanamke aliye utupu yasababisha gumzo London

Maelezo ya video, Sanamu ya mwanamke iliyosababisha gumzo

Sanamu ya Mary Wollstonecraft, mwandishi wa karne ya 18 na mtetezi wa haki za wanawake inasababisha gumzo baada ya kuwekwa wiki iliyopita mjini London.

Mchongo huo ulionakishiwa kwa shaba na fedha umesababisha ukosoaji mkubwa kwasababu sanamu hiyo haina nguo