Uchaguzi Tanzania 2020: Lissu asimulia jinsi alivyokamatwa

Maelezo ya sauti, Uchaguzi Tanzania 2020: Lissu asimulia jinsi alivyokamata

Polisi nchini Tanzania wamewaachia huru viongozi wote wa upinzani ambao walikuwa wamewakamata kwa mashtaka ya kupanga maandamano yasiokuwa halali .

Kiongozi wa chama cha upinzani Tundu Lissu amezungumzia matukio ya kukamatwa kwake huku akitoa wito kwa mbunge mmoja na madiwani 15 wa chama cha chadema walioshinda katika Uchaguzi mkuu uliopita kutoshiriki katika shughuli za kuapishwa.