Nembo ya mchoro wa jicho kuwaokoa wafugaji

Maelezo ya video, Nembo ya mchoro wa jicho kuwaokoa wafugaji

Kwa kipindi cha miaka minne, wafugaji kutoka Botswana na Australia wamekuwa wakiwachora ng'ombe katika makalio ili kuzuia wasivamiwe na simba.

Na zoezi hilo limeonekana kuwa na matokeo chanya, Je mchoro huo unafananaje kazi?