Luciana Campagnoli: Afariki kutokana na saratani baada ya kupona corona
Madaktari walisitisha tiba ya saratani ya Bi Luciana Campagnoli wakati alipoambukizwa virusi vya Covid-19.
Luciana alipona lakini madaktari hawakuwa na muda wa kuanzisha upya tiba hiyo kabla ya saratani kumuua.