Virusi vya corona: Jinsi virusi vya corona vinavyobadilisha tabia za raia wa Sierra Leone

Maelezo ya video, Virusi vya corona: Jinsi virusi vya corona vilivyobadilisha tabia za raia wa Sierre Leone

Sehemu ya kwanza ya kipindi cha Afrika Eye inaangazia mlipuko wa corona unavyobadilisha tabia za raia wa Sierra Leone kuhusu jinsi wanavyoshirikiana.