Virusi vya Corona: Marufuku ya kutotoka nje ndio suluhu ya corona
Mataifa mengi barani Afrika wameweka marufuku ya watu kutoka nje, shule kufungwa na shughuli mbalimbali kusimama.
Ingawa kuna baadhi ya watu wanaamini kuwa marufuku hiyo haiwezi kufanya kazi ipasavyo?
Video-Eagan Salla