Fahamu jinsi ATM ya maziwa inavyofanya kazi

Maelezo ya video, Fahamu jinsi ATM ya maziwa inavyofanya kazi

Nchini Tanzania wengi wao wanaposikia ATM kitu cha kwanza wanachoweza kufikiri huenda ikawa ni sehemu ya kutolea fedha,

Lakini huko Kaskazini mwa Tanzania katika mkoa wa Kilimanjaro ipo ATM ya kwanza ya maziwa ambayo imekuwa kivutio kwa wakazi wa mkoa huo.

(Video na Eagan Salla)