Zimbabwe imekabiliwa na ukamwe kwa miaka 40

Maelezo ya video, Zimbabwe imekabiliwa na ukamwe kwa miaka 40

Ukame uliodumu kwa miaka 40 nchini Zimbabwe umeathiri uchumi na kuwafanya watu kuhangaika na njaa.

Scolastica Nyamayaro inampasa kuomba pesa ili anunue dawa na mara nyingi huwa anashinda na njaa.