Ali Hassan Mwinyi asema hana timu hivyobasi timu itakayofunga ndio yake
Ali Hassan Mwinyi ni rais wa zamani wa Tanzanian ambaye alihudumu kati ya mwaka 1985 na 1995.
Wakati wa Uongozi wa Mwinyi, Tanzania ilichukua hatua za kwanza kubadilisha uongozi wa kisosholisti wa Mwalimu Julius Nyerere.
Ni wakati wa muhula wake wa pili ndiposa siasa za vyama vingi zilianzishwa chini ya shinikizo kutoka kwa wafadhili.
Alizungumza na Zuhura Yunus wa BBC.