Kwanini ndoa zinakithiri wakati Ramadhani?
Wakati waumini wa dini ya Kiislamu wakijiandaa na mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan duniani kote,
Wengi wamekuwa wakikimbilia kufunga ndoa, hususan kwa wale waliokuwa wakikaa na wenza wao bila kuhalalisha tendo hilo. Ni kwanini? Msikiliza Halima Nyanza