Upi utaratibu wa kuchukua kura Kenya?

Maelezo ya sauti, Usajili wa wapiga kura Kenya

Zoezi la kusajili wapiga kura linaendelea nchini Kenya, huku tume huru ya uchaguzi na mipaka ikisema haijatimiza idadi kamili iliyokadiriwa kwa wiki ya kwanza. Wanasiasa wa mirengo tofauti akiwemo Rais Uhuru Kenyatta wamekua kwenye harakati kushawishi vijana kuchukua kura. Lakini upi utaratibu wa kupata kura Kenya?