Tunataka kukutangazia taarifa yako: wewe au jamaa zako waliopo nchini Ukraine hivi sasa

Tunatafuta habari kutoka kwa wazungumzaji wa Kiswahili ambao kwa sasa wanaishi Ukraine. Je, maisha yako yanaathiriwa vipi? Je, hali ikoje sasa katika mkoa wako? Zungumza kuhusu uzoefu  wako ukitumia fomu iliyo hapa chini - mmoja wa wanahabari wetu anaweza kuwasiliana nawe hivi karibuni na taarifa  yako inaweza kuchapishwa kwenye eneo la juu la  tovuti yetu.

Tuma swali lako

Ingawa tunalenga kusoma barua pepe zote, hatuwezi kukuhakikishia jibu. Tunaweza kujibu barua pepe yako au kuwasiliana nawe kwa ufafanuzi. Ikifaa, maoni unayotoa yanaweza kuhaririwa na kuchapishwa kwenye vyombo vya habari vya BBC duniani kote. Tafadhali sema katika barua pepe yako ikiwa hutaki maoni yako yachapishwe. Maelezo yako hayatapewa mtu yeyote nje ya BBC bila idhini yako.

BBC ndiyo mdhibiti data ya kibinafsi uliyotoa hapo juu. BBC huchakata data hii kwa misingi ya maslahi yake halali kama shirika la habari ili kuweka rekodi za kihariri. Ikiwa una maswali kuhusu jinsi BBC inavyoshughulikia data yako ya kibinafsi, tafadhali tazama Sera ya Faragha ya BBC: http://www.bbc.co.uk/usingthebbc/privacy/

BBC itahifadhi data yako hadi isiwe na haja tena ya kutathmini na/au kurekebisha masuala yaliyoibuliwa.